Mikataba ya wachumba kabla ya Ndoa (Prenups) – Tanzania

Mikataba ya wachumba kabla ya ndoa (Prenups) ni Mikataba ambayo wanandoa watarajiwa huingia kuhusu mali walizochuma kabla ya kufungua ndoa husika. Aina hii ya mikataba lengo lake kuu huwa ni kuhakikisha mali ambazo wanandoa wamechuma kabla ya ndoa husika hazitokuwa mali za pamoja za wanandoa hao endapo ndoa hiyo itavunjika.

Katika kipindi cha leo tupo na Wakili msomi Emmanuel Bakilana, ambaye anatufafanulia kuhusu mikataba hii, madhumuni yake, faida na hasara zake kwenye jamii yetu ya kitanzania na sisi kama jamii tunahitaji aina hii ya mikataba.

Kwa maelezo zaidi kuhusu wazungumzaji;

Privaty Rugambwa

https://www.linkedin.com/in/privaty-patiensi-rugambwa-5078554a/

https://www.irglobal.com/advisor/privaty-patiensi-rugambwa/

Emmanuel Bakilana

https://tz.linkedin.com/in/emmanuel-g-bakilana-846405123

Kupakua nakala ya Sheria ya Mikataba ya Wachumba kabla ya Ndoa (The Law of Marriage Act [CAP 29 RE 2019]), bonyeza kitufe hapa chini:


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Ads

ad