Podcast

 • sheria poa logosheria poa logo

  The concept of Marital Rape: Time to amend our laws? (Suala la Ubakaji ndani ya ndoa: Je ni muda wa kurekebisha sheria zetu?)

  Swala la ubakaji ndani ya ndoa; yaani mume kumbaka mke wake, ni tatizo kubwa sana duniani. Suala hili pia limekuwa likiwatokea wanandoa wengi sana Tanzania na hivyo kuibua maswali mengi sana juu ya sheria zetu katika suala hili, na wengi wamekuwa wakiuliza kama ndoa ni kibali au leseni ya kubaka (whether marriage is a licence to rape).

 • sheria poa logosheria poa logo

  Mikataba ya wachumba kabla ya Ndoa (Prenups) – Tanzania

  Mikataba ya wachumba kabla ya ndoa (Prenups) ni mikataba ambayo wanandoa watarajiwa huingia kuhusu mali walizochuma kabla ya kufungua ndoa husika. Aina hii ya mikataba lengo lake kuu huwa ni kuhakikisha mali ambazo wanandoa wamechuma kabla ya ndoa husika hazitokuwa mali za pamoja za wanandoa hao endapo ndoa hiyo itavunjika.

 • sheria poa logosheria poa logo

  Masuala ya Ardhi katika Mirathi

  Katika kipindi hiki, tuko pamoja na wakili Victor Mwakimi akiendelea kuzungumzia kwa kina Masuala ya ardhi katika mirathi. Washereheshaji wa mada ya leo ni mawakili Emmanuel Bakilana na Privaty Rugambwa. Karibu ujumuike nasi.

 • sheria poa logosheria poa logo

  Unyanyasaji wa Kingono kwenye Sehemu za Kazi

  Sheria ya kazi na mahusiano ya kazi ya mwaka 2004 kama ilivyofanyiwa maboresho mwaka 2019, imezungumzia kidogo sana juu wa unyanyasi wa kingono kwenye sehemu za kazi. Sheria imeweka unyanyasaji wa kingono chini ya makundi au aina ya ubaguzi mahala pa kazi na hivyo kuonekana kama ni tatizo dogo sana kwenye eneo la kazi na mahusiano ya kazi. Kumekuwa na matatizo mengi sana juu ya tatizo hili la unyanyasaji wa kingono kazini, watu wengi sana wamekuwa wakinyanyaswa na watu mbalimbali ikiwemo waajiri au hata wafanyakazi wenzao na hivyo kusababisha matatizo makubwa sana kwao ikiwemo msongo wa mawazo.

 • sheria poa logosheria poa logo

  Haki za wanyama wafugwao majumbani Tanzania

  Siku hizi imekuwa ni kitu cha kawaida kuona nyumba au watu wakifuga wanyama mbalimbali kama mbwa au paka kama wanyama rafiki, kwa ajili ya majumbani kwa ulinzi au tu kama marafiki. Pia imekuwa ni kama desturi kuona vijana wakiwa wanauza wanyama hawa barabarani au sehemu mbalimbali kwenye miji mbalimbali Tanzania. Kumekuwa na maswali mengi sana kutoka kwa wadau na kwenye mitandao juu ya haki za wanyama wafugwao majumbani na wajibu ya watunza wanyama hawa.

 • sheria poa logosheria poa logo

  Jinsi ya kumiliki eneo ndani ya jengo Tanzania (Unit Titles / Condominium)

  Kipindi cha leo ni muendelezo wa mada ya kujua jinsi ya kumiliki ardhi Tanzania. Leo tupo na Wakili Msomi Victor Mwakimi, na mazungumzo ya leo ni kujua hasa jinsi mtu anaweza akamiliki eneo ndani ya jengo. Pia kuzungumzia kuhusu haki azipatazo mtu anayenunua eneo ndani ya jengo au eneo na zile anazopata mtu aliyenunua kiwanja au nyumba na kama kuna utaofauti wowote kati ya wamiliki hawa.

 • sheria poa logosheria poa logo

  Land as a Source of Investment Through Mortgages

  With us in today's episode is Advocate Victor Mwakimi, the Founding and Managing Partner of Lyson Law Group. Victor has nearly 10yrs of experience in legal practice specializing in Banking and Finance, Litigation and Conveyancing. Advocate Mwakimi gained his experience and passion for litigation and drafting of legal instruments while working for Trustworth Attorneys and later Gabriel & Co, where he was in charge of preparing and perfection of mortgages and other securities as Head of the Firm's Banking and Finance Practice. He is a well rounded Corporate Attorney who is admired by his clients and colleagues alike for his dedication to service, delivery and etiquette.

 • sheria poa logosheria poa logo

  Do’s and Don’ts on Acquisition of Land In Tanzania: Part One

  Our Guest in today's episode is Advocate Victor Lyson Mwakimi, Currently a managing Partner at Lyson Law Group, specialising in Corporate and Commercial Transaction, Conveyancing and Litigation. He is also a founding Member of Sheria Poa. Advocate Victor, before he became a partner at LLG, he has worked with Gabriel Attorneys, Trustworth Attorneys his area of expertise being conveyancing, and has done several conveyancing transaction and he is one of the best conveyancing Lawyers in Tanzania. In this episode he will be discussing with us, on how can someone acquire land and what mistakes people make and what should someone avoid during this land acquisition process.

 • sheria poa logosheria poa logo

  Striking a Balance Between Tight Work Schedule & Mental Health

  Our guest today is Nadia Ahmed who is a Psychologist and Registered Counsellor, Lecturer, Yoga and Mindfulness Meditation Teacher, Neurolinguiatic Programming and Life Coach, Mental Health and Wellness Expert, Founder and Director of Mind Matters Counselling and Human Development, TEDx Speaker, Young African Leaders Initiative - YALI Alumni, and African Women's Entrepreneurship Cooperative - AWEC fellow.

 • sheria poa logosheria poa logo

  Women in Legal Practice, Challenges and Opportunities Available: Part 2

  Today we are extending our discussion on challenges and opportunities available to women in Legal practice, and our guest today is Flora Obeto, Flora is an Associate at DLA Piper Africa, IMMMA Advocates and the Co- Founder and Managing Director at One Insurance Agency. We will be discussing in details main challenges facing women in legal practice and our main focus being junior lawyers who have just joined the profession, and how to go about the challenges that they are facing.

Ads

ad